Natanguliza salamu,
Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne.
Naweza kutumia computer vizuri
Ninaujuzi wa Web design
Naweza kufanya kazi ya duka
Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
Habari ndugu zangu.
Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali.
Natanguliza shukrani
Habari wana member wa Jamii forum..kwa majina naitwa Collins George kutokea dar-es-salaam nimemaliza chuo mwez huu wa 7 nikisomea Bachelor in Information Technology (BIT).
Sijawa muhitim complete kwa kua nasubili matokeo yangu ya mwisho ili nipokee chety...kwa kipindi ichi nnachosubil kupokea...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
WALE MLIOOMBA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NAAMINI WOTE MLISOMA KITABU CHA
NGOSWE "Penzi kitovu cha uzembe" TUNAKUMBUSHANA. HATA MIMI NIMEOMBA😁😁🙈
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo
MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
Kwema Wakuu!
Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama?
Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam?
Majibu tafadhali!
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku
Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha
Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone...
Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote.
Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
"Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV.
Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..
- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,
- Ataanzia wapi na atatumia...
Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini?
Kama nusu saa hivi tukasikia
Wioo wiooo wiooo...
Sio kwamba nimesimuliwa hapana.
Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
JOB OPPORTUNITIES
A Tanzanian IT Company in Dar Es Salaam is looking for:
1. Stationery/Café Attendant (1)
2. IT Officer (1)
3. IT Sales Officer (1)
4. Accountant Cum Office Admin (1)
5. IT Service Desk Support (1)
6. Office Messanger (1)
QUALIFICATIONS:
Minimum Diploma in the relevant field...
By Rehema Matowo
Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini.
Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.