kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  2. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nafasi Moja ya Kazi Kwenye Shirika la Ndege ni kwa Mwenye Vigezo Hivi

    Me sina cha kuongezea maana nasoma na kurudia kusoma, huyu mtu anayetakiwa hapa ni wa namna gani!.
  4. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Kazi gani inadharaulika lakini ukiifanya inakuingizia pesa ndefu?

    Leo tupeane A, B, C za kujiinua kiuchumi, unadhani ni kazi ipi inadharaulika mtaani kwako lakini ndo inayokuweka mjini?
  5. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

    Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway. Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours. Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin amfuta kazi Jenerali baada ya aibu ya kipigo

    Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo... Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern town of Vuhledar ended with dozens of tanks being destroyed. General Rustam Muradov was sacked in the...
  8. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  9. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi?

    Kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi, lazima umuibe kutoka kwa mwanaume mwingine asiyejali thamani ya alichonacho!
  10. Dr Madam

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    LIZONA ENTERPRISES LTD iliyopo mkoani Mwanza inawatangazia nafasi za kazi kwa watu wote wenye sifa. Nafasi Za kazi ni kama ifuatavyo :- Msimamizi mkuu na Mtawala(1) Wauzaji wa bidhaa(15) Wasambazaji na wapangaji wa bidhaa(18) Wapokeaji na waelekezi wa wateja sehemu husika(11) Usafi wa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kukabiliana na Stress za kazi?

    Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini? ===== Work-related stress can get the best of us all...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna dawa inayoua taratibu. Dawa kazi yake kutibu, msidanganywe

    Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu. Kama ipo itaje, taja na side effect yake tujifunze.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kufanya kazi kiwanda cha Almarai Saudi Arabia namuhitaji

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza passport. Na kampuni ilikufa iliyokua ndiyo agent. Kama kuna aliyewahi kupiga kazi nahitaji kuuuliza mambo...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Graham Potter afukuzwa kazi na klabu ya Chelsea

    Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  17. Street brain

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani . Nisaidieni jinsi bando langu kupitia smartphone yangu unaweza nizalishia pesa. Jobless tupitie comments za high IQ hapo 👇👇👇
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

    Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti Viongozi WA halmashauri wote...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
Back
Top Bottom