Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,228
5,950
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka.

Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha.

Menejimenti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ilihusisha suala hili na ukosefu wa fedha,jambo ambalo lilisababisha CHADEMA kushindwa kuitisha vikao vya bodi. Kushindwa kufanya vikao kunatia shaka zaidi kuhusu uwezo wa bodi kukagua mali na uwekezaji wa chama.

Pia, uwezo wake katika kubaini matumizi mabaya ya fedha ambayo yanaweza kuhatarisha upotevu wa rasilimali za chama.

Halafu ati tuwape nchi
 
Ndiyo maana Chadema wana ofisi chafu kuliko zote duniani
Inasikitisha sana ila wafate tu mapendekezo ya CAG

Napendekeza Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA ihakikishe inafanya vikao vyote vilivyotajwa katika Katiba yao ili kusimamia kwa ufanisi masuala ya kifedha ya chaama chao.

Hii itasaidia kupunguza hatari ya matumizi mabaya ya mali, uwekezaji katika miradi isiyo na faida, na makosa mengine ya kifedha
 
Kila Kona Ni hovyo Hovyo
Wakija utasikia Sukuma Gang mara vile yaani ni Porojo tupu
Tulionao Nao Majanga
Upinzani ndio Majanga ×1000
 
..kama Chadema ilikuwa haipokei ruzuku Bodi ya Chama ilitakiwa ikae vikao vya kukagua au kupitisha nini?
 
Siyo haipokei,walisusia ruzuku ndiyo maana CAG alikwenda kukagua licha ya kususa kwao

Uko sahihi 100%.

Mama Chadema walikuwa wamesusa ruzuku bodi ya chama ingekaa vikao kukagua au kupitisha nini?

Mimi nadhani CAG naye amefanya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha zetu kwa kwenda kukagua chama cha siasa kisichopokea / kilichosusa ruzuku.

Tumhoji bwana CAG alikwenda Chadema kukagua nini wakati walikuwa hawapokei ruzuku?
 
Hata uona Huu uzi na kuipita hii ndio shida ya kuweka ushabiki mbele nimefanya jambo la maana kutokuwa mshabiki wa hivi vyama
 
Ndiyo maana Chadema wana ofisi chafu kuliko zote duniani
Na ndo maana ccm chini ya raisi chizi magufuli ikawanunua wabunge kina mwita waitara na kuwapa iwaziri juu? Kumbe walitokea ofisi chafu? Hahaha unalipa mamilioni ili tu mtu aseme naunga mkono juhudiiii? Juhudi za kuua, kupiga risasi na kuteka watu?

Yupo wapi Ben sanane?
 
Tanzania hakuna upinzani pia Kuna wanasiasa waongowaongo inatakiwa tuanze upya , Njia ya kuanza Sasa ndio tatizo
 
Back
Top Bottom