Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
20230410_175153.jpg

Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.

Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu.

Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na kumdhalilisha.

Biswalo kama mzalendo alikuwa anatimiza wajibu wake wa kisheria kwa kusimamia sheria iliyotungwa na bunge.
Ripoti ya CAG haijaonesha sehemu yoyote kuwa Biswalo kaiba pesa. Kilichotokea ni issues za procedures tu ila pesa inayozungumzwa kwa mujibu wa CAG ipo kwenye akaunti ya serikali kilichotokea ni kuweka akaunti tofauti na ilivyozoeleka.

Biswalo angekuwa ana makosa kama angeweka pesa kwenye akaunti yake binafsi au angetorosha.

Sisi wazalendo tunasema pamoja na kampeni chafu dhidi yako wananchi tuko pamoja na wewe na uendelee kufanya kazi uliyoaminiwa na Rais.
 
Nchi ya ajabu sana hii. Yaani waliotuibia tunawajua kisha tulioibiwa tunabishana tu
Kwahiyo hata CAG Hamuamini tena kisa kamtaja malaika wenu wa sukuma GANG?
Naanza kuamini kweli mlitaka kupindua aisee siyo kwa mapovu haya

Kweli kabisa, Ufisadi hautaisha Tanzania. Maana wananchi tumeganyika na kutetea mafisadi kisa yupo kwenye mrengo fulani.
 
View attachment 2583436

Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.

Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu.

Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na kumdhalilisha.

Biswalo kama mzalendo alikuwa anatimiza wajibu wake wa kisheria kwa kusimamia sheria iliyotungwa na bunge.
Ripoti ya CAG haijaonesha sehemu yoyote kuwa Biswalo kaiba pesa. Kilichotokea ni issues za procedures tu ila pesa inayozungumzwa kwa mujibu wa CAG ipo kwenye akaunti ya serikali kilichotokea ni kuweka akaunti tofauti na ilivyozoeleka.

Biswalo angekuwa ana makosa kama angeweka pesa kwenye akaunti yake binafsi au angetorosha.

Sisi wazalendo tunasema pamoja na kampeni chafu dhidi yako wananchi tuko pamoja na wewe na uendelee kufanya kazi uliyoaminiwa na Rais.

Unakaa nyuma ya mwanaume unafanya nini?. Huo ni ushoga.
 
Aisifuye mvua basi tambua tu kuwa imemnyeshea.
 
Hapa ndipo naamin kbs Nchi hii baada ya Mwalimu Julius kambarage Nyerere hajawah simama au kutokea mzalendo tena!! Yaan watu wapo radhi kufunika ubadhirifu au ufisadi kwa kila namna kwasababu ya mapenz ya mtu au kikundi flani!! Taifa letu kusonga mbele bado mnoo..... Kuna kikundi hakitaki kukubali kwamba kilikua na mafisad ndani yake!!!
 
Back
Top Bottom