kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Mitandao unayoweza ukapata kazi za mitandaoni

    Hizi nimezipata mahala so na wewe weka zako watafutaji vijana wanaweza wakazipata mana . 1.flexjobs.com 2. who is hiring .io 3. remoteml .com 4. freelancer .com 5. upwork.com 6. remoteok .io 7. devsnap .io 8. remote .co 9. dice .com 10. angel .co
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

    Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura: Polisi wafurushwa: Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

    Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu. Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe.. Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
  4. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

    Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete amezitaka Taasisi za TPSC na Uongozi kuandaa programu za mafunzo zitakazoboresha utendaji kazi kwa Watumishi na Viongozi

    TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  7. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Dynamic island feature ambayo ipo kwenye iPhone 14 pro sasa inafanya kazi kwenye android yoyote bila kuwa na usumbufu wa ADs

    App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
  8. ryaniza

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  9. African Geek

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi katika Mgodi Wa Barrick Shinyanga-Fundi Mitambo (HD Mechanics)

    HD Mechanic Shinyanga, Tanzania, United Republic of TRENDING JOB DESCRIPTION JOB ADVERT - HD MECHANICS (01 VACANCY) Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit HD Mechanics to join our team. The successful candidate for this position is expected to align with the Barrick DNA and drive a change...
  11. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

    Wana jamvi habari za usiku huu, Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa. Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
  12. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    Kwanza, Freelancer ni nani? Freelancer ni mtu yoyote self-employed anayefanya kazi kwa watu/mtu au makumpuni mbalimbali bila kuwa na long-term relationship nao wala commitment za kazi nyingne zaidi, mostly done online. Typically freelancers hulipwa kwa lisaa, siku ama muda service anayotoa kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Watu walifanyaje kazi kabla ya mashine kuvumbuliwa?

    Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii. Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini. Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
  14. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Mwananchi alipomaliza kazi kishujaa kwa Mkapa

    MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata juzi. Ndiyo, walistahili. Safari wamekwenda robo fainali yenye heshima zaidi. Mwaka ule wakati kina...
  15. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  16. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Subject of e-mail and body of e-mail

    Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email? Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu? HII HUENDA NDIO SABABU KUBWA YA BAAZI YA MAOMBI YAKO KUTO JIBIWA... "KUTO KUWEKA SUBJECT NA BODY OF EMAIL" - Nikosa kubwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, nipo Dar es Salaam

    Habarini wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28 nipo Dar ni camera man video editor na graphic designer pia ni content creator. Sina kazi kwa sasa, nahitaji kazi yoyote ya kujikimu kimaisha maana kwa kazi za video production bila conmection huwezi pata, hivyo nikaona nitafute kazi yoyote ile ili...
  18. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina bachelor degree ya Project Planning and Management na diploma ya Community Development

    wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development. Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed. thank you...
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Uombaji Kazi

    Kwanini izi kampuni au organizations za kazi mnanyanyasa sana watu Ivi na qualifications za ajabu??? Ivi kweli mtu unaandika 18-29 halafu awe ana degree na pia experience ya miaka 5? Huyo 18 c from 5 au 6 wengine walochelewa 4 kabisa? Ndo shida ya kupaste kila kitu. Na iyo mwisho 29 nini? Kwamba...
  20. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

    Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC...
Back
Top Bottom