Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea.
Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
Niende moja kwa moja!
Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee).
Je, tatizo ni nini?
Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari.
Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu.
Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na Kinyarwanda) , na nikasoma Kiswahili, Kingeleza na Elimu katika chuo kikuu.
Asante.
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
VKVT COLLEGE
NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM
SIFA ZA MUOMBAJI:
. Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji kutoka VETA kwa level ya NIT
. Awe mbunifu katika ufundishaji
. Awe na uzoefu si chini ya miezi sita
...
SproutGigs
SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri.
Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja
Hakuna...
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo...
Habari zenu wana jamvi...
Nimeulizwa hapa na machalii mtaani nimekosa jibu, nimejaribu kutafuta katika google ya ubongo wangu mtu wakimuuliza nimekosa nikakumbuka kuwa kuna jamvi lipo linawajuvi wa mambo.. bila shaka nitapata taarifa sahihi..
Hivyo BASI, Naombeni taarifa zaidi juu ya Kazi ya...
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.
Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.
Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.
Yaani jiwe aliharibu Nchi.
M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina changamoto moja.
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto...
Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi.
Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Picha | Kwa hisani ya money(dot)com
UTANGULIZI
Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya.
Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA
Sifa za Kijana ninae Mtaka :
Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao...
Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne.
Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa.
Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.