kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania CCM kabla ya uteuzi wa Makonda ilikuwa imelala na kibaya zaidi ilikubali kirahisi kupokwa kazi za siasa na Serikali

    Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take. Donald McGannon Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa Katibu wa Nec itikadi na uenezi taifa,Ndugu Paul Christian Makonda ameweza kufanya mambo ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwamwaja: Ni 53.8% tu ya nguvu kazi ndio wanatumia Huduma rasmi za Fedha

    Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akionesha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha, wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ulioangazia Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imekusudia kuhakikisha Wananchi wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda anafanya maonesho kuliko kazi

    Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti. Naomba niulize swali kabla sijasahau. Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha? Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona...
  7. JamiiForums Tanzania Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

    Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi -Kuuza Duka (Location: Madale)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/04/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. Njoo DM kwa maelezo zaidi na mawasiliano. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE
  9. JamiiForums Tanzania Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

    Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD. Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha. https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
  12. JamiiForums Tanzania Paul Makonda piga kazi ila tu zingatia yafuatayo!

    Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi. Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

    Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani. Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya...
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Palestina jijini London yamfukuzisha kazi Waziri wa Mambo ya ndani UK

    Wanaukumbi. --- The PM moved to oust Ms Braverman as he tries to restore his authority with potentially less than a year to a general election. The sacking comes after an extraordinary week of rowing over handling of pro-Palestinian protests in London on Armistice Day. Ms Braverman drew the...
  16. JamiiForums Tanzania Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

    Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie. Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja. Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  18. JamiiForums Tanzania Mkisikia 'Supu ya Bure' na 'Uroho wenu' mnafakamia tu sasa Kazi Kwenu

    Na usiombe ufakamie Supu ya Bure itokanayo na Ng'ombe wa Uwizi na waliokuwa na Utapiamlo. Mtakula sana Flygil na Antibiotic!!!!!
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

    Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu Majukumu yake ni kama yafuatayo Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa)...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…