Jose Mourinho ameingiza Tsh. Bilioni 255 za fidia kwa kufukuzwa kazi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kocha Jose Mourinho (60) kwa sasa hana timu, rekodi zinaonesha amefukuzwa kazi mara 6 katika maisha yake ya Ukocha.

Uamuzi wa kumfukuza kazi umemfanya kukusanya jumla ya Pauni Milioni 80 (Tsh. Bilioni 255) kama fidia kutoka klabu mbalimbali.

Malipo ya Mourinho kwa kufukuzwa kazi
Chelsea – Pauni 18m (Tsh. Bilioni 57)

Real Madrid - £17m (Tsh. Bilioni 54)

Chelsea - Pauni 8.3m (Tsh. Bilioni 26)

Manchester United – Pauni 19.6m (Tsh. Bilioni 62)

Tottenham – Pauni 15m (Tsh. Bilioni 49)

Roma – Pauni 3m (Tsh. Bilioni 9.5)

========= ========

Jose Mourinho has been sacked for the sixth time in his career after being dismissed by Roma on Tuesday.

The 60-year-old was axed by the Italian side after a disappointing season that has left Roma languishing in ninth in Serie A.

Mourinho's contract at Roma had been due to expire at the end of the current campaign and he was thought to have asked for a new deal.

But they have decided to part ways with the Portuguese, who had been sacked five times before his latest dismissal.

Mourinho is believed to have earned around £80million just from being laid off by clubs in his career.

Chelsea have paid him more than £26m alone, with Mourinho having pocketed £18m when he was sacked at Stamford Bridge in 2007 and £8.3m following his second dismissal in 2015.

He was also given a £17m pay-off by Real Madrid and nearly £20m by Manchester United when he was binned in December 2018 - just months after he had signed a new two-year contract through to 2020.

JOSE'S PAYOUTS
Chelsea (1st time) - £18m
Real Madrid - £17m
Chelsea (2nd time) - £8.3m
Manchester United - £19.6m
Tottenham - £15m
Roma - £3m

An ill-fated 17-month stint at Tottenham also ended in the sack and a healthy £15m in compensation. He had another two years to run on his deal at Spurs when he was shown the door.

His payout from Roma is only likely to be around £3m, given he was out of contract at the end of the season.

Mourinho's total figure dwarfs other managerial payouts. Antonio Conte, the Portuguese's bitter rival, is thought to have earned around £37m in compensation during his career.

This includes a whopping £26m when he was axed by Chelsea in 2018.

Chelsea also paid out £13.6m to Luis Felipe Scolari in 2009 and £13m to Thomas Tuchel in 2022.

Laurent Blanc received £17m after his sacking by PSG in 2017, believed to be the fourth-highest managerial payout of all time.

Mourinho's final game in charge was Sunday's 3-1 defeat to AC Milan - which he had to watch from the stands due to a suspension - meaning the Stadio Olympico-based outfit had won just one of their past six league games.

Source: DailyMail
 
20231210_212139.jpg
 
Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
 
Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
Hizo fidia analipwa kwa mujibu wa mkataba.
Hazipati baada ya kushitaki mahakamani, ni baada ya makubaliano ya pande mbili
 
Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
TAKUKURU wa hapa hapa TZ au nchi nyingine? Hawa si ndo wala rushwa nambari wani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom