Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
901
1,334
AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI

Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji (matumizi ya umeme) kunakotokana na maendeleo ya wananchi

Mzee Azim Dewji ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho vituo vya mafuta zaidi ya elfu 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vyote hivi vinaongeza matumizi ya umeme.

Kwa upande mwingine Dewji amesema sababu nyingine zinazopelekea uhaba wa umeme ni baadhi ya mikoa kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha Rais Samia, viwanda vingi vipya kufunguliwa, hotel nyingi kujengwa, nyumba mpya kati ya laki 6 na laki 7 zimejengwa nchini, Kila Hospitali ya Mkoa kuwa na mashine kubwa za X Ray, CT Scan na MRI na kadhalika

Sambamba na hayo Mzee Azim Dewji ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kukamilisha sehemu kubwa ya mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwani utasaidia kupunguza uhaba wa umeme kwa kiasi kikubwa
 
Wanapambana Mwarabu na dini yao arudi tena.. kuweni makini...Azim naye kawa chawa. Viwandani Gani vimeongezeka wakati hamna hata kazi.
 
AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI

Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji (matumizi ya umeme) kunakotokana na maendeleo ya wananchi

Mzee Azim Dewji ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho vituo vya mafuta zaidi ya elfu 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vyote hivi vinaongeza matumizi ya umeme.

Kwa upande mwingine Dewji amesema sababu nyingine zinazopelekea uhaba wa umeme ni baadhi ya mikoa kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha Rais Samia, viwanda vingi vipya kufunguliwa, hotel nyingi kujengwa, nyumba mpya kati ya laki 6 na laki 7 zimejengwa nchini, Kila Hospitali ya Mkoa kuwa na mashine kubwa za X Ray, CT Scan na MRI na kadhalika

Sambamba na hayo Mzee Azim Dewji ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kukamilisha sehemu kubwa ya mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwani utasaidia kupunguza uhaba wa umeme kwa kiasi kikubwa
kwann tunapeleka vijana wakasomee research , je serikali wanatak hawa waajiliwe wap ? bado makosa ni ya serikali kama mpk leo hawana watu wa kufanya hili je tunavyozid ongezeka watamud population yetu by 2040
 
Amesahau kuwa tuliambiwa ng'ombe wa wasukuma na masai ndio wanakanyaga kanyaga vyanzo vya maji na kunywa kwahiyo maji yanapungua?
Huyu mzee akili hana, hivi anajua ni power station ngapi zimeanzishwa na kuchangia nguvu zake ktk gridi ya Taifa?
Anajua ni maboresho mangapi yamefanyika ktk mitambo ya zamani kuileta ktk usasa na kuzalisha umeme mwingi zaidi?
 
Mzee Azim Dewji ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho vituo vya mafuta zaidi ya elfu 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vyote hivi vinaongeza matumizi ya umeme.
Huyu babu naye chawa, Tanesco wenye umeme wao wanasema mabwawa ni makavu yeye anasema pasi na friji, ina maana tukirudisha pasi na friji vilikotoka mabwawa yatajaa maji?
 
Back
Top Bottom