Mambo vipi ndugu zangu?
Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika.
Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa...
"TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba.
Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo.
Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote.
Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu.
Hii kauli ikitokea kwa...
CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI.
Na Robert Heriel.
Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo kwenye miamala ya line simu.Anadai kua yeye amependekeza bajeti ili mambo yaende hajali watu wanaumia...
Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.
Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
Wana ndugu.
Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani?
Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.
"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face...
Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako.
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika...
Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa.
Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real!
Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia.
Intellect over emotions.
Companero 😉😁
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi?
Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya...
Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki.
Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
" Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi "
Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
" Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani "
Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya...
Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema,
naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama
Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.