Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,364
108,406
Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki.

Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga wanapokaribia Kukutana katika 'Derby' yao utasikia inasemwa kuwa Yanga SC ni Dhaifu (Underdog).

Sasa GENTAMYCINE nakiweka hapa Kikosi cha Yanga SC ambacho kuanzia Mwenyekiti wa Yanga SC Mzee Msolla na Mfalme wao Injinia Hersi 'walikinadi' mno kuwa ndiyo Yanga SC Bora mpaka Magazeti mengi ya Michezo yaliyojaa 'Unafiki' mwingi Tanzania nao waliandika.

1. Farouq Shikalo
2. Kibwana Shomary
3. Adeyum Saleh
4. Bakari Nondo
5. Lamine Moro
6. Tonombe Mukoko
7. Tuisila Kisinda
8. Carlos Carlinhos
9. Michael Sarpong
10. Saido Ntibazonkinza
11. Yacouba Sogne

Akiba una akina....

1. Mnata
2. Yassin
3. Shaibu
4. Job
5. Niyonzima
6. Fiston
7. Kaseke
8. Farid
9. Nchimbi
10. Makapu
11. Fei Toto

Hivi Kweli kwa Kikosi hicho Tajwa ambacho Mwenyekiti Msolla na 'Mpigaji' Injinia Hersi wa GSM 'walituaminisha' kuwa ndiyo Bora na kinaenda kuchukua Ubingwa wa VPL Msimu huu Kikifungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 tutafute 'Utetezi' wa 'Kinafiki' tunaoaminishwa kuwa Yanga SC ni 'Dhaifu' kwa Simba SC?

Ikifungwa Yanga SC Jumamosi itakayofungwa ni Yanga SC na siyo Yanga SC iliyo Dhaifu (Underdog) kwa Simba SC. Mmesajili wenyewe kwa Mbwebwe na 'Majisifu' yenu Kibao halafu leo mnaona 'Kipigo' Kitakatifu (cha Shalubela) kinakuja Jumamosi mnaanza 'Kujihami' na kutafuta sababu (visingizio) vya kutoa (kuwapa) Mashabiki zenu 'Oya Oya' wengi mlionao.

Kudadadeki zenu mtakoma Jumamosi!
 
Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga wanapokaribia Kukutana katika 'Derby' yao utasikia inasemwa kuwa Yanga SC ni Dhaifu (Underdog)

Sasa GENTAMYCINE nakiweka hapa Kikosi cha Yanga SC ambacho kuanzia Mwenyekiti wa Yanga SC Mzee Msolla na Mfalme wao Injinia Hersi 'walikinadi' mno kuwa ndiyo Yanga SC Bora mpaka Magazeti mengi ya Michezo yaliyojaa 'Unafiki' mwingi Tanzania nao waliandika.

1. Farouq Shikalo
2. Kibwana Shomary
3. Adeyum Saleh
4. Bakari Nondo
5. Lamine Moro
6. Tonombe Mukoko
7. Tuisila Kisinda
8. Carlinhos Mrangi Muangola
9. Michael Sarpong
10. Saido Ntibazonkinza
11. Yacouba Sogne

Akiba una akina....

1. Mnata
2. Yassin
3. Shaibu
4. Job
5. Niyonzima
6. Fiston
7. Kaseke
8. Farid
9. Nchimbi
10. Makapu
11. Fei Toto

Hivi Kweli kwa Kikosi hicho Tajwa ambacho Mwenyekiti Msolla na 'Mpigaji' Injinia Hersi wa GSM 'walituaminisha' kuwa ndiyo Bora na kinaenda kuchukua Ubingwa wa VPL Msimu huu Kikifungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 tutafute 'Utetezi' wa 'Kinafiki' tunaoaminishwa kuwa Yanga SC ni 'Dhaifu' kwa Simba SC?

Ikifungwa Yanga SC Jumamosi itakayofungwa ni Yanga SC na siyo Yanga SC iliyo Dhaifu (Underdog) kwa Simba SC. Mmesajili wenyewe kwa Mbwebwe na 'Majisifu' yenu Kibao halafu leo mnaona 'Kipigo' Kitakatifu (cha Shalubela) kinakuja Jumamosi mnaanza 'Kujihami' na kutafuta sababu (visingizio) vya kutoa (kuwapa) Mashabiki zenu 'Oya Oya' wengi mlionao.

Kudadadeki zenu mtakoma Jumamosi!
Kwel kbsa
 
Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki.

Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga wanapokaribia Kukutana katika 'Derby' yao utasikia inasemwa kuwa Yanga SC ni Dhaifu (Underdog).

Sasa GENTAMYCINE nakiweka hapa Kikosi cha Yanga SC ambacho kuanzia Mwenyekiti wa Yanga SC Mzee Msolla na Mfalme wao Injinia Hersi 'walikinadi' mno kuwa ndiyo Yanga SC Bora mpaka Magazeti mengi ya Michezo yaliyojaa 'Unafiki' mwingi Tanzania nao waliandika.

1. Farouq Shikalo
2. Kibwana Shomary
3. Adeyum Saleh
4. Bakari Nondo
5. Lamine Moro
6. Tonombe Mukoko
7. Tuisila Kisinda
8. Carlinhos Mrangi Muangola
9. Michael Sarpong
10. Saido Ntibazonkinza
11. Yacouba Sogne

Akiba una akina....

1. Mnata
2. Yassin
3. Shaibu
4. Job
5. Niyonzima
6. Fiston
7. Kaseke
8. Farid
9. Nchimbi
10. Makapu
11. Fei Toto

Hivi Kweli kwa Kikosi hicho Tajwa ambacho Mwenyekiti Msolla na 'Mpigaji' Injinia Hersi wa GSM 'walituaminisha' kuwa ndiyo Bora na kinaenda kuchukua Ubingwa wa VPL Msimu huu Kikifungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 tutafute 'Utetezi' wa 'Kinafiki' tunaoaminishwa kuwa Yanga SC ni 'Dhaifu' kwa Simba SC?

Ikifungwa Yanga SC Jumamosi itakayofungwa ni Yanga SC na siyo Yanga SC iliyo Dhaifu (Underdog) kwa Simba SC. Mmesajili wenyewe kwa Mbwebwe na 'Majisifu' yenu Kibao halafu leo mnaona 'Kipigo' Kitakatifu (cha Shalubela) kinakuja Jumamosi mnaanza 'Kujihami' na kutafuta sababu (visingizio) vya kutoa (kuwapa) Mashabiki zenu 'Oya Oya' wengi mlionao.

Kudadadeki zenu mtakoma Jumamosi!
Na timu iliyocheza mechi 27 za ligi inakuwaje dhaifu? Wasituletee
 
POPOMA vipi timu yetu ya Biashara United go
 
1620248768562.png
 
Back
Top Bottom