kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”. Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki. Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe kuhusu wabunge kujiongezea mishahara ni ya kweli. Mbona hajaitwa na Kamati?

    Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya. 2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn. 3. Pascal...
  4. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mama Yangu.

    1.Nilipokua Mdogo Niliibiwa Baiskeli Yangu Mama akaniambia" Huyo mtu ameiba Baiskeli yako ajaiba Bahati yako. 2. Nilipokua nasoma Kuna siku Moja niriludishwa Shule kwa ajiri ya Ada, niliporudi Nyumbani mama akaniambia kapumzike/Kalale nilipoamka akaniambia Chukua madaftari yako usome.(Na kile...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo anataka kuua uchumi katika tasnia ya michezo, tujitokeze kulaani kauli zake

    Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu. Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
  9. KJ07

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kauli za viongozi wa Simba

    1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika" Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ushawishi wa Rais Samia imeongezeka maradufu mpaka inatishia uwepo wa upinzani na kutamani asigombee

    Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije ikatokea watu wakapotoshwa na upotoshaji ukageuka ukweli, Kwa hiyo mada hii inabaki kuwa kumbukumbu ya...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Raimondo yafichua angalau sifa tatu ilizo nazo serikali ya Marekani ya sasa

    Kuna msemo wa kale wa Kichina unaosema Jitumie Kuwahukumu Wengine, ambao unamaanisha kutumia mawazo yako mabaya kuwafikiria wengine. Ingawa ulitungwa katika Enzi ya Han ya China miaka 800 iliyopita, haujapitwa na wakati hata kidogo unapotumiwa kuelezea serikali ya Marekani ya sasa. Hivi majuzi...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Sasa Toeni maoni yenu
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania msipoteze uaminifu kwa manufacturers wa nje waliowaamini kwa kutolipia mizigo mliyopewa kwa mali kauli. peni pesa za watu

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo. Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amjia juu Martin Masese juu ya kauli ya Hussein Bashe

    Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes. Source X. Zamani...
Back
Top Bottom