Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,659
- 21,090
Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi?
Wakimbizi wakishakua raia by naturalization hakuna tija kuendelea kubring up ukimbizi wao kila dakika. Hao ni raia na wana haki zote kama watanzania wengine.
From my understanding (stand to be corrected), ni Rais na VP tu lazima wawe watanzania by birth ila nafasi zingine zote anaweza shika mtanzania yeyote regardless ya aina ya uraia wake. Kama kuna sheria inakataza watanzania by naturalization kushika nyadhifa fulani wekeni wazi kila mtu ajue badala yakutoa hizi kauli tata za kujitungia bila kuzingatia sheria.
Unless wakimbizi wanaoongelewa na CDF wamepewa hizo nafasi ilhali bado sio raia kabisa hakuna sababu ya kuwaita watu hao wakimbizi. Huo ni unyanyasaji na uzembe wa hali ya juu wa mamlaka.
CDF kapuyanga kutoa hiyo statement. CDF achukue darasa la uraia toka kwa watu wa uhamiaji wenyewe: