kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

    Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

    Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

    Salaam, Shalom!! Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake. KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

    Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msitishwe na RC Chalamila na maagizo yake kwa Jeshi la Polisi

    Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
  12. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ya RC wa Simiyu kuhusu Watu 22 Waliokufa Machimbo sioni sababu ya Serikali kuhangaika nao au watu kuwalilia

    "Baada ya Juzi Wachimbaji hawa Kuingia Chini Shimoni walikuta Madini ya Dhahabu ila kukaonekana kuwa hali ya Kule chini Kimazingira haikuwa Salama hivyo walivyopanda Juu na. Kuielezea kwa Wataalamu na Viongozi ilishauriwa wasubirie Kwanza ili Kuwatengenezea Mazingira mazuri ya Kiusalama Kwao...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

    Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Wanabodi, Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unahisi kauli ya Ahmed ali atasemaje leo baada ya kufungwa?

    Refaaaa katunyima mda wetu wore mmeona ...tulijua mlandege wametayarishwa kupewa kombe.... ....tumejitahidi bahati haikuwa yetu...... ....mashabiki mtusubiri bandarini kupokea washindi wa pili wa mapinduzi cup
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kauli Bora Kutoka Kwa Mwanasimba LiaLia Baada ya kupoteza Fainali ya Mapinduzi

    Tusichoshane jisomeeee mwenyewe. Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani? Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

    Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
Back
Top Bottom