katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  2. JamiiForums Tanzania Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

    ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel...
  3. L

    JamiiForums Tanzania AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  4. S

    JamiiForums Tanzania NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

    Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo. Ukiangalia, magoli yote mawili ni matokeo ya mpira wa kasi wa Yanga unaolzamisha timu pinzani kukimbiza upepo...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate Katika Mkutano wa Utekelezaji Ilani ya CCM Mtaa wa Maganga, Temeke.

    MBUNGE JANEJELLY NTATE KATIKA MKUTANO WA USOMAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MTAA WA MAGANGA, TEMEKE Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 07 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mkutano wa kusoma...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Ataja Muarobaini wa Kumtua Mama Ndoo Kichwani Katika Ziara ya Chongolo Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

    Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
  9. JamiiForums Tanzania Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

    Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly. Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly. Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  13. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu

    Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema. Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza benki kisha kuuza baadaye, changamoto niliyonayo ni wapi naweza pata hiyo dhahabu kwa uhakika maana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  18. K

    JamiiForums Tanzania katika utumbuaji, natamani kituo kinachofuata kiwe NSSF .

    Wote waliochukizwa na namna iliyotumiwa na NSSF kwenye ajira kwa kuonesha upendeleo wa wazi tunatamani sana kituo kinachofuata katika utumbuaji kiwe NSSF ili kuwe na nidhamu katika ajira za utumishi wa Umma. Nina imani na Rais wetu Samia Suluhu, ni msikivu na mzingatiaji atasikiliza kilio hiki...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
  20. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa sasa Upumzike kuongea na Media, kwani tayari Mobhare Matinyi Kateuliwa na anatosha

    Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake. Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…