Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo.
Ukiangalia, magoli yote mawili ni matokeo ya mpira wa kasi wa Yanga unaolzamisha timu pinzani kukimbiza upepo kuelekea mbele na matokeo yake timu nzima inakimbia kwenda mbele huku wachezaji wa chache wa Yanga wakibaki nyuma wakiwa katika nafasi nzuri ya kupokea pasi mpenyozo kutoka mshambuliaji anaefanikiwa kugeuka na kutoa pasi kwa wachezaji walio nyuma wakiwa hawajazongwa na inakuwab rahisii kufunga kwani ni vigumu kwa wachezaji wa timu pinzani kugeuka kwa haraka kuwakabili wachezaji wa Yanga waliobaki nyuma kidogo wakiwa almost peke yao/hawajazongwa.
Suluhisho:
Mnaposhambuliwa au mchazaji mmoja mwenye kasi anapokimbia na mpira kuelekea kwenye goli lenu, timu nzima msikimbilie mbele huku wenzenu wakibaki nyuma wakiwa hawajazongwa na hivyo inakuwa rahisi kupiga shuti wakipokea pasi mpenyezo kutoka kwa wachezaji/mchezaji anaekimbia kwa kasi na mpira akifanikiwa kugeuka na kutoa pasi kwa wenzake walio nyuma huku wakiwa hawana wa kuwakaba mpira ukiwafikia.
Mimi sio mtalaamu wa soka, ila nilvyochunguza clip ya magoli ya Azizi na Pacome, hii ndio siri niliyoigiundua.
Angalai hii clip:
View: https://youtu.be/NthCx-SZ5Oo