Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema.
Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza benki kisha kuuza baadaye, changamoto niliyonayo ni wapi naweza pata hiyo dhahabu kwa uhakika maana utapeli umeshika kasi sana.
Naomba kuwakilisha.