Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.

Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu.

Sasa bhana mie pia najua demu wangu kasoma chuo hicho kumbe hao mademu wamesoma nae, nikamtaja majina yake.

Dadeki kuna mmoja alikuwa tayari yuko vibes na vyombo bia zimekolea si karopokwa aaha huyo si Witness tena yeye ni dotto wako mapacha huyo alikuwa
kiranja wa kutoa mimba, yule hadi tunamaliza chuo alishatoa mimba 12 na baada ya chuo nina uhakika pia alitoa mimba 3.

Baada ya hapo sina mawasiliano nae ila alivyoroporopo kama mimi nikionana nae au nikimcheki kwenye simu nikimuuliza kuhusu michongo ya kusimamia shoo za kukataa kuzaa atasema tu hana kaba yule.

Nimevurugwa baada ya hapo sikuaga nikasepa nikaenda kula Guinness stout, nikajikuta niko na demu wa kaunta bar moja maarufu hapa Dodoma.

Usiombe yaliyo nikuta yakukute.
Kuna mademu ni maninja sina hamu nimevurugwa sana.

Dunia bado ipo sana hofu ni kwetu sisi walimwengu.

Am disillusioned really.

Wadiz now chopped off.
 
UKITAKA MAHUSIANO YAKO YOYOTE YADUMU USIPENDE KUSHAURIWA AU KUSKILIZA MANENO YA WATU , YOTE YANAWEZA KUWA UONGO!
 
Mimba 12, na bado yupo hai?
 
watu huwa wanabadilika usiwahukumu kwasababu ya lifestyle yao ya zamani.

"Lifestyle is a Tendencies of thought and action. Lifestyle is not something that you were naturally born with,but something you choose yourself, then it must be possible to choose it again. People can change anytime regardless of the environment their in.
 
Kuna kidemu nilikuwa nacho kila muda tulikuwa tunapishana kauli maana kinapenda sana kusikiliza ushauri wa marafiki na watu hata wasiojua mahusiano yake yakoje

Boss usiwaamini sana hao wanaokwambia katoa hzo mimba mfatilie we mwenyewe adui wa mwanamke ni mwanamke kuna mpenzi nilikuwaga nae alikuwa anaongelewa vby kitaani ana masela wengi hata madem wenzake walikuwa wananiambia kuwa hapo sipo ila ukweli nilimkuta bikra :D Nakushauri tu usimuhukumu kwa hayo uloambiwa yapo mengi ya kujiaminisha kabla ya maneno ya kuambiwa
nikutakie utekelezaji mwema
 
Good, kama ulikuwa kwenye akili yangu. Wanawake hatupendani
 
Kushusha injini mara 15 si kitoto aisee, hiyo gari ni konkodi. Waulize mafundi gereji wakwambie shughuli yake.
 
Back
Top Bottom