katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi mngejua adha wanazopata watoto wenu katika daladala mngetamani kuwahamisha shule za karibu

    Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu. Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
  2. JamiiForums Tanzania Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

    Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa picha hii. Je, ni grade ya ngapi katika zile grade nne za bawasiri?

    Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi. Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn. Kilichonileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  5. JamiiForums Tanzania Mkaka mmoja alalamika juu ya wanawake kutaka kipaombele zaidi katika mahusiano

    Mkaka mmoja alilalamika kua: Atamnunulia nguo huyo mwanamke kila week mdada akiona nguo nzuri mwanaume atanunua Atampeleka outing mara nyingi kwa gharama zake Atamlipia hela akasuke aweke kucha zake sawa Atamlipia hela za michezo au vikoba upatu vyote atalipa Atamnunulia zawadi kwenye kila...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wasio katika mahusiano imara ndio wanazungumzia sana siku ya wapendanao

    Angalia tu hata kwenye contact list yako. Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawagopesha wanawake katika mahusiano

    Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho? Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo? Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa manjano na asali katika kutuliza kikohozi

    Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi. Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya Tangawizi bila kuweka na machicha yake kwa sababu inaweza kusabibisha karahaa kwenye koo. Mara...
  9. JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Je, historia ya mgombea unayemuunganga mkono inaonesha mafanikio au kushindwa katika kutekeleza ahadi zake?

    Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katika tarehe 17 February?

    Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda...
  13. JamiiForums Tanzania Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

    Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike. Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku. Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  15. JamiiForums Tanzania Katika hili baby mamas mnafeli

    Jua kali mida ya mchana kuelekea al asiri, mwamba mmoja anaonekana akiongea na simu yake ya mkononi,na hakika amezama hasa katika maongezi yake. Wazee wa Cuba huwa hatukawii kung'amua kwamba kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi mwamba alivyokuwa anaongea, ilinichukua sekunde zisizo zidi thelathini...
  16. JamiiForums Tanzania South Africa (Bafana Bafana) washika nafasi ya tatu katika Afcon

    Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90. Golikipa Ronwen Williams wa Bafana Bafana kwa mara nyingine aliibuka shujaa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya DRC ikiwemo...
  17. JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9 Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukopi text katika Website ndani Android

    Habari wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza. Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi. Nafahamu baadhi ya website wanafunga usiweze kukopi text. Kwenye PC upande wangu naweza kukopi hata Kwa website zilizozuia kukopi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…