Kwa picha hii. Je, ni grade ya ngapi katika zile grade nne za bawasiri?

kwe2tu

Senior Member
Dec 30, 2023
109
173
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi.

Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn.

Kilichonileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids) maana ziko grade nne.

Nataka kujua je hii ni grade ya ngapi ktk zile nne maana nahisi nimefikia hatua km hii picha inavyoonyesha.

Lkn kutaka kujua tena je huwa wanafanyaje upasuaji wa bawasiri ya ndani?

Screenshot_20240129-180834.png.jpg

Samahani kwa usumbufu
Naomba kuwasilisha.
 
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahii.
Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn.
Kilicho nileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids) maana ziko grade nne. Nataka kujua je hii ni grade ya ngapi ktk zile nne maana nahisi nimefikia hatua km hii picha inavyoonyesha.
Lkn kutaka kujua tena je huwa wanafanyaje upasuaji wa bawasiri ya ndani??

Samahani kwa usumbufu
Naomba kuwasilisha.
Screenshot_20240129-180834.png.jpg
 
Kwanza pole sana ndugu, hiyo kitu ilimtesa sana jamaa angu alifanyiwa operations kadhaa lkn baada ya muda flani inarudi tena ila akaelekezwa kwa dokta mmoja Yuko sengerema mwanza anatibu kienyeji na ana clinic kabsa ya kutibu wagonjwa wa hiyo kitu tu. Na yeye hafanyi operations Bali anakupa dawa ambayo itayanya yenyewe yatoke kwa nje na kudondoka. Naomba nitoe angalizo, sina maslahi na huyo dokta wala undugu bali nimeshare kama sehemu ya msaada na mawazo. Asante.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom