Kitu gani kinawagopesha wanawake katika mahusiano

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
288
Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho?

Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo?

Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima utaendelea kudai zaidi. Hivyo, mwanaume akiondoka baada ya mara ya kwanza tu ya kulala na yeye inaweza sababisha mwanamke huyo kuathrika kisaikolojia?
 
Back
Top Bottom