Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

EmerickJantern

New Member
Sep 20, 2022
4
2
Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu.
Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali naomba unijuze nitashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom