Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,453
40,446
Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike.

Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku.

Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na kufanya siku husika kuwa ya furaha.

Kwa upande wangu, nitatoka na binti mmoja machachari sana anayejua kukemea mapepo, angalau tukapige moja moto moja baridi mpaka pakuche.

Je, wewe utatoka na nani humu?​
 
Leejay49
 
Back
Top Bottom