Mkaka mmoja alalamika juu ya wanawake kutaka kipaombele zaidi katika mahusiano

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
291
Mkaka mmoja alilalamika kua:

Atamnunulia nguo huyo mwanamke kila week mdada akiona nguo nzuri mwanaume atanunua

Atampeleka outing mara nyingi kwa gharama zake

Atamlipia hela akasuke aweke kucha zake sawa

Atamlipia hela za michezo au vikoba upatu vyote atalipa

Atamnunulia zawadi kwenye kila sikukuu, Valentine watataka zawadi na mauwa, Women's day watataka zawadi, Mother's day watataka zawadi pia

Atapambana na moods za huyo mwanamke because sometimes wananunaga ujinga just to recieve attention

Swali lake ni Mwanamke analeta nini katika mahusiano? (what does a women bring on the Table?)
 
Umefanya mahusiano yaonekane kama biashara tu

Wewe kutoa hela haimaanishi unanyonywa si jukumu lako?

Haya mimi najua moja; emotional support
 
Mtakuja kutaman kuwa wanawake

MWanamke anaefanyiwa yote hayo inabidi akubali pia kuachwa siku yoyote asiwe king'ang'aniz maana kuna siku tutaona wazur Zaid yake na tutapenda kupeleka huduma kwingine
 
Back
Top Bottom