katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  2. JamiiForums Tanzania I Stopped Using Passwords. It’s Great—and a Total Mess

    For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting hacked. But for all its security protections, the password was a nightmare to type into an onscreen...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
  4. JamiiForums Tanzania UWT watoa kila la heri katika uchaguzi mdogo wa Madiwani

    Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa kuwatakia Ushindi wa Kishindo.
  5. JamiiForums Tanzania Katika hili waziri wa michezo (Ndumbaru) amekosea, ni hatari, mamlaka zirekebishe mapema

    Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani. Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
  6. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni burudani katika maisha, burudika nazo badala ya kulialia ovyo

    Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni wajibu wako kufanya hiyo ili maua yakue na kustawi. Changamoto ni burudani kama zilivyo burudani ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
  10. JamiiForums Tanzania Is the future exciting? Unaiona wapi dunia katika miaka/siku zijazo?

    Dunia ina ina muda mrefu tangu kuwepo kwake,binadamu tumepitia vipindi tofauti mpaka kufikia sasa ambapo tunaongelea kipindi vumbuzi nyingi zinafanyika,fursa nyingi za kiuchumi zinakuwa na jamii inakuwa ni ya kuchanganyika. Muda umetufikisha katika ulimwengu ambao hatuna shida ya kwenda sehemu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

    Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii? Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
  14. JamiiForums Tanzania Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yadaiwa kuhusika katika ufisadi wa bilioni 4.8

    Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini. Mashirika ya kimataifa yanadaiwa kutoa fedha kwa ajili ya kufanya kampeni kuhamasisha wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu. Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo. Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Aisha Ulenge: Rasilimali Watu Wanawake Waingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu

    MBUNGE Aisha Ulenge Amesema Rasilimali Watu Wanawake Waaingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge Amesema tunapokwenda kuzalisha Rasilimali watu na kuilea Rasilimali...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12. 🇧🇷Brazil 13. 🇮🇩Indonesia 14. 🇮🇷Iran 15. 🇪🇬Egypt 16. 🇦🇺Australia 17. 🇮🇱Israel 18. 🇺🇦Ukraine 19. 🇩🇪Germany...
  20. JamiiForums Tanzania Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Strong leader. Ujumbe wa Lissu: Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS. Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…