kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  2. B

    Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

    1. Nani anataka vita mashariki ya kati? 2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku. 3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati? 4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi? 5...
  3. Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  4. Ipi tofauti kati ya Green House na Shade House?

    Watalaamu, naomba utofauti wa shade house na green house, ipi ina faida kuioperate.
  5. Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  6. Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Vipi wakuu. Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu. Najua fika kuwa...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  8. J

    Sikiliza Mabishano yaliyoibuka kati ya Msemaji wa Bavicha na Mwenyekiti Kamati ya Bunge wakati wa uwasilishaji

    ..huyu Dada wa Chadema kwanza yuko very confident and composed. ..kitu cha ajabu ni kwamba maoni aliyokuwa akiyatoa Mwakilishi wa Bavicha yanafanana na yaliyotolewa na watoa maoni wengine kama CCT, na TEC. Tatizo limekuja baada ya maoni hayo kutolewa na Bavicha na Mwenyekiti akaanza kubishana...
  9. Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

    Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon. Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua...
  10. ☯️🔴🔵 VIJUE VIGEZO (17) VYA KUTOFAUTISHA MABASI (DARAJA LA KAWAIDA, DARAJA LA KATI NA LA KIFAHARI)

    Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020. MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010. Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha ya mamlaka kupanga nauli kulingana na vyombo husika bado tunahitaji uelimishwaji wa hali ya juu. Leo...
  11. PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  12. Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  13. Wafa Sultan: Hakuna Mgongano wa Ustaarabu bali Mgongano kati ya Mawazo ya Zama za Kati na ile ya Karne ya 21

    Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006 . Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
  14. Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  15. L

    Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu. Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea. Huyu...
  16. Hapa nani boya?

    Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada. Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na mazungumzo kabla. Anyways, punde jamaa akatoa noti ya elfu 10 mfukoni kisha akaiandika namba ya simu juu...
  17. S

    Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

    Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi. Nimejiuliza kwamba: 1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake? 2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni?? Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
  18. Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

    Habari waungwana. Eti kati ya maji ya mvua na maji ya chemichemi yapi ni masafi na salama zaidi.
  19. Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  20. Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…