Salaam shalom!!!
Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,
Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume.
Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...