Kupata Tin number na tax clearance kwa kampuni

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,315
5,434
Naomba kuuliza

Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.

Au nimpe yeye 50k aniandalie.

Naomba kujua utaratibu ulivyo maana naona kama nataka kupigwa hela.
 
Back
Top Bottom