Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu.
TTCL : Nilitumia ka muda mfupi baadae nikaachana nao maana wazito katika kutoa huduma au ukiwa na shida inachukuwa mda mrefu...
"Nataka tuwekane sawa maana tayari watu wameanza kupotosha na kazi ya Serikali ni kuelimisha wananchi, mjadala wa bandari umekuwa ni mkubwa sana kuliko Mijadala mingine yote na hii ni kwasababu kwa mara ya kwanza watanzania wameshuhudia mkataba mkubwa kama wa bandari ukipelekwa Bungeni" - Mhe...
Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika.
Kiongozi mkuu wa Kampuni ya...
Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25.
Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani?
=======...
Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni:
1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu.
Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja nayo huku wilayani nikitegemea nitaweza kutumia intanet ya TTCL kupitia simu za waya kama vile...
MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML
#GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO
#GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii
Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa wafanyakazi umefanywa na makampuni makubwa zaidi katika teknolojia kama Google, Amazon, Microsoft, Yahoo...
TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania.
Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana.
Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali
Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
Salamu wana jamvi!
Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana?
Natanguliza shukrani!
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.
Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI.
Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii?
Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini...
Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali.
Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
Wasalaam,
Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania?
Kampuni yenye unafuu wa gharama.
Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World).
Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.