kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

    Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

    Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni wagombea watuambie mambo haya

    Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza. Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani atazitatua changamoto hizo. Takwimu zitaboresha speech 1. Sheria kandamizi: akiwa Rais no Sheria zipo...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

    CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia. Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM imefanya kampeni za kistaarabu

    Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu. Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama hicho kufurika watu wengi haikuwa ya ghadhabu na hasira bali upendo na furaha vilitawala. Amesema...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuamua kutoa ahadi ya kutuongezea mishahara wafanyakazi wa nchi hii wakati huu wa kampeni, haoni kuwa ndiyo anaharibu zaidi?

    Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5. Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maalim Seif anafunga Kampeni zake leo

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu. Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
  11. JamiiForums Tanzania Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze . Ushahidi huu hapa
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

    Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja aliyedai kudhurumiwa mali zake ambaye uamuzi ulitolewa mahakamani kuomba kusaidiwa, aidha amemshauri...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zinaenda kuisha. Sijasikia neno "haki" na "uhuru wa watu" likitamkwa na mgombea Urais CCM

    Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana. Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

    Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu . Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

    CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali waliteuana na walioteuliwa awakuwa chaguo la wananchi hivyo walijitengenezea kukataliwa toka ngazi...
  19. JamiiForums Tanzania Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

    Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu...
  20. JamiiForums Tanzania U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

    ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini? Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini. Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…