Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
605
1,536
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.

Katika msafara wake Maalim Seif ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndugu, Nassor Mazrui, Katibu wa Idara ya Habari na Uenezi Ndugu, Salim Bimani na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Ismail Jusa.

WhatsApp Image 2020-10-22 at 8.59.00 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-22 at 8.59.12 AM.jpeg


Abeid Khamis Bakar
Afisa Habari na Uenezi
ACT Wazalendo Zanzibar.
 
Mwisho ni uchaguzi huu,akishashindwa uchaguzi arudi CCM atulie ale pensheni zake za uwaziri kiongozi na umakamo wa kwanza wa Rais.
 
CCM huko Zanzibar mgombea wetu Hussein Mwinyi atashinda zaidi ya 60%..
 
Back
Top Bottom