kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna chama mpaka kampeni zinaisha hawatatamka neno HAKI kwenye mikutano yao

    Habari iwe kwenu wakuu! Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na kilichonishangaza ni kushindwa wa wanachama, wapambe, viongozi na wagombea wa CCM kutamka neno haki kwenye kampeni...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga. Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

    Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu? Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif? Maendeleo hayana vyama!
  4. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Wimbo Bora kabisa wa Kampeni Uchaguzi Mkuu 2020

    Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni. Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA" Sikiliza mwenyewe then put your comment.
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Ridhiwani kawaomba Wanachalinze wenzake kumchagua Dkt...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kosa kubwa walilofanya CCM kwenye kampeni zao ni kupoteza muda kusifia yaliyopita badala ya kueleza watafanya nini

    Kawaida na hulka ya binadamu ni kutamani kusikia au kuona kitu kipya kuliko cha zamani, wazungu wanasema test the difference. Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wakipoteza muda mwingi kuelezea vitu walivyo fanya wakasahau kuwaeleza wapiga kura nini kipya watawafanyia wananchi endapo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

    Leo Babati Mjini. Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta Chanzo: BAVICHA TAIFA Asanteni Babati Tukutane 3010 kujipongeza...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

    Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha. Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea...
  9. Tee Bag

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

    RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA. TAREHE 18.10.2020 1. HANANG 2. MBULU 3. KARATU TAREHE 19.10.2020 1. SIMANJIRO 2. MONDULI 3. LONGIDO 4. ARUMERU 5. HAI 6. MOSHI MJINI TAREHE 20.10.2020 1. MWANGA 2. LUSHOTO TAREHE 21.10.2020 1. KOROGWE 2. MUHEZA 3. TANGA...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Membe hakujitoa ikiwa hakupiga kampeni?

    Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu. Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi ya kura kunaweza kuwa na faida kubwa kwa CHADEMA na Lissu siku ya upigaji kura. Wote tunajua vita...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

    Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi. Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
  15. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

    Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko. Wakti...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

    Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora . Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ======== Wananchi wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  18. mtz one

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuukubali 'Unafiki' huu wa 'Kisiasa' hasa katika nyakati hizi za 'Kampeni' za lala salama nchini

    TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka. msemajimkuuwaserikali Nadhani kama kuna tukio...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
Back
Top Bottom