kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. mtz one

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuukubali 'Unafiki' huu wa 'Kisiasa' hasa katika nyakati hizi za 'Kampeni' za lala salama nchini

    TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka. msemajimkuuwaserikali Nadhani kama kuna tukio...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

    Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni. Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020. Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27. ======== Katibu...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kwanini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni

    Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni. Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa. Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Masheikh wa BAKWATA waanza kumpigia Kampeni Dkt. Magufuli waziwazi bila aibu

    Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa dhahiri wa BAKWATA, Masheikh wa BAKWATA wameanza kutumia podium mbalimbali za hadhara kumfanyia kampeni Mgombea uraisi wa CCM. Wiki kadhaa zilizopita Sheikh wa BAKWATA wa mkoa wa Dar es salaam bwana Alhadi, alionekana kung'aka na kumshambulia Muinjilisti...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

    Wakuu. Hivi huyu mgombea wa ACT wazalendo ndugu Benard Membe, kampeni zake anafanyia wapi, maana simsikii kabisa?
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

    Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe. Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

    Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi . Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

    Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa ndipo walipokosea viongozi wa CCM kwenye mikakati ya kampeni

    1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa. 2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa. 3. Unapokwenda ukerewe zungumzia uvuvi na namna nyavu zilivyo chomwa Moto, usizungumzie uchumi wa Kati. 4. Ukienda Mtwara...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha : Joseph Haule(Profesa J) akiendelea na kampeni kata ya Ruaha

    Hapa ni kwenye kijiji cha Kifinga Kata ya Ruaha, akiwakilisha chama chake mbele ya Wananchi.
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu

    Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Matiko adaiwa kudhalilishwa na kutukanwa na watu kwenye Mikutano ya Kampeni ikiwemo Askari Polisi

    Wanawake wamekemea vitendo wanavyofanyiwa vya udhalilishwaji na baadhi ya watu wakiwatukana wanawake wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Akiongea mgombea ubunge viti maalumu kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Tekra Johanes kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi...
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

    Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni. Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

    Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya. Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo . Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kweka wa Kibaha anapumulia oxygen kwenye Kampeni

    Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba. CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mburahati, Dar: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020. Pia anatarajia kuwanadi wagombea Ubunge na...
Back
Top Bottom