Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
MATOKEO - LIVE:
Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1...
bunge
ccm
chadema
ded
kampeni
kura
lissu
maendeleo
magufuli
matokeo
mshindi
rais
rais magufuli
tanzania
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2020
upinzani
urais
ushindi
vyama
vyombo vya habari
watanzania
zitto
Waheshimiwa:-
Dkt. John Pombe Magufuli
Adv Tundu Antipas Lissu
Maalim Seif Sharif Hamadi
Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na
Wengine - Salaam za 28/10/2020!!!
Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% ,
Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo.
Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza.
Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani atazitatua changamoto hizo. Takwimu zitaboresha speech
1. Sheria kandamizi: akiwa Rais no Sheria zipo...
Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam,
Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.
Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga.
Kama kawaida yetu...
Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu.
Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama hicho kufurika watu wengi haikuwa ya ghadhabu na hasira bali upendo na furaha vilitawala.
Amesema...
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa.
Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5.
Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.
Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja
Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni
Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja aliyedai kudhurumiwa mali zake ambaye uamuzi ulitolewa mahakamani kuomba kusaidiwa, aidha amemshauri...
Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana.
Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo
Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi...
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
Wanabodi habari ya majukumu?
Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?
ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu.
Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana.
Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.