Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

china.jpg

Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
 
Back
Top Bottom