kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Lukanga anaisambaratisha CCM Mwanza. Amekuwa kivutio cha kampeni, na msafisha njia kwa wagombea wa CHADEMA

    Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.
  3. Molleli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ningependa kuona wananchi tunapewa nafasi za kuwauliza maswali wagombea urais kwenye kampeni zao

    Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

    Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo. Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu. Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake. Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
  8. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020 Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndo sababu CCM wanakwepa kuzungumzia Dhahabu kwenye kampeni zao

    Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano mwaka 2017 ililitangazia Taifa na dunia azma yake ya kurekebisha sekta ya madini nchini hususan dhahabu. Ikaunda tume Mbili za Osoro na Mruma, zikaja na matokeo ya kitafiti na maazimio yaliyotikisa nchi. Miongoni mwa matokeo hayo ni amoja...
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukitaka kumuua mbwa, mpe majina yote mabaya; kampeni meneja wa John Pambalu mwanza

    Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya" Hii Ina maana gani? Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ila Tundu Lissu ana ujasiri. Unguja alimpigia kampeni Maalim Seif na Kigoma kampigia kampeni Zitto Kabwe

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza. Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif. Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

    Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
  13. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hongereni vijana wa chadema kwa aina hii ya kampeni

    Watu kama hawa ni haki yao kutafuna Ruzuku ya chama hapo badae wamefanya kazi kubwa sana wapewe heshima yao. Note: ni burudani na vituko tu vya kampeni.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yuko wapi Lowassa asaidie kampeni?

    Mwanachama nguli wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nilitegemea awe kwenye timu ya kampeni ya CCM wakati huu jahazi linapoelekea kuzama. Au yeye ni kati ya Askari wa Akiba tunaoambiwa wataingia rasmi kipindi cha lala salama.
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenendo wa kampeni Uchaguzo 2020

    Kwa masikitiko makubwa naomba kulaani vikali kitendo cha Mgombea mwenza wa CHADEMA cha kuwafokea Askari Polisi walipomkumbusha kuwa muda wake wa kampeni kwa siku ya jana umekwisha. Yaani saa 12 jioni. Kupitia hilo nimeamini hawa watu ustaarabu, hekima, unyenyekevu na ustahimilivu unawashinda...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

    Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar. CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF...
  18. Binti255

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

    Ni siku mbili tu baada ya Magufuli kutoka hapa!
  20. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    “Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
Back
Top Bottom