kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga atimiza ahadi ya kampeni kwa kukabidhi "dustbin" mbili Zahanati ya Kijiji cha Kaning'ombe

    Mlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi. Huko jimbo la Kalenga mbunge Kiswaga ametimiza ahadi yake ya kutoa Dustbins mbili (2) kwenye zahanati na baada ya tukio hilo la kihistoria, picha ya pamoja...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

    Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kampeni ya Jazwa Ujazwe ya Mtandao wa Tigo ina ukweli wowote?

    Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje? Nimeuliza kwa...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Kampeni dhidi ya UKIMWI Mbeya ziepuke udhalilishaji

    KAMPENI DHIDI YA UKIMWI MBEYA IEPUKE KUDHALILISHA UTU NA ISIKIUKE HAKI ZA BINADAMU! Siku chache zilizopita tuliwasikia viongozi katika Mkoa wa Mbeya akiwemo Mkuu wa Mkoa huo wakiongea mbele ya kamera kuhusu Kampeni dhidi ya UKIMWI. Viongozi hao walisisitiza kuhusu adhma yao ya kuanzisha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kuing'oa CCM hata 2025 zipo pale pale, ipo siku watang'oka tu!

    Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni mpenda mpira na kuangalia mechi katika medani ya siasa. Nipo huru kifikra kwa hio naweza...
  7. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tume ya Uchaguzi Uganda yatishia kumuadhibu Museveni endapo hafuati masharti katika kampeni

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda jaji Simon Mugenyi Byabakama, amesema kwamba tume hiyo haitasita kumchukulia hatua rais Yoweri Museveni ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha National Resistance Movement – NRM, endapo hatafuta sheria za kampeni zilizowekwa na tume. Kulingana...
  9. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mugisha Muntu asitisha kufanya kampeni hadi wapinzani waliokamatwa waachiwe huru

    Mgombea Urais wa nchi hiyo, Mugisha Muntu amesitisha kufanya kampeni zake mpaka Wapinzani wengine waliokamatwa jana watakapoachiwa Muntu ametaka Mamlaka kuwaachia huru Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine na Patrick Amuriat waliokamatwa kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye harakati za kampeni zao...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

    Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake. Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

    Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa. Membe ni wa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaanza Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa November 22

    Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na mashambulizi kutoka kwa makundi ya wapiganaji kwa mda wa miaka mitano sasa. Akihutubia wafuasi wake...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  16. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

    Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyoyatamka kwenye kampeni yote yametimia, kwanini asiapishwe?

    Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata diwani, mbunge na Magufuli wa CCM. Ni kwanini tupate tabu tena kuhangaika na uchaguzi 2025. Hizi pesa...
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maana halisi ya "Hata tusipofanya kampeni tutashinda" ndio hii

    Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama. Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari kwa lolote. Miaka 5 imepita JPM kajitahidi kurudisha mioyo ya watu na kufanya mengi watu...
  19. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

    Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho. Kwenye kampeni zetu wagombea wetu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
Back
Top Bottom