Falling Nandy Vs Shu Diamond ipi Amapiano kali?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe?

Hapa ieleweke nashindanisha ngoma, sishindanishi nani mkali individually. Wote tunajua Diamond kwa Nandy ni mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom