Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili Mashabiki wa Simba SC wakose Tiketi na Uwanja usijae kisha Simba SC Waumbuke na Wachekwe kwani kama kweli Uwanja ukijaa (Nyomi likiwa ni la Kufa Mtu) kwa Mkapa hadi Uhuru itakuwa ni Fedheha (Aibu) kubwa kwa wana Yanga na Klabu yao ya Yanga SC inayojinasibu kuwa na Mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Uwanja.

Hivyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuuomba Uongozi wa Simba SC na hata Watendaji wa Serikali na Vyombo vyake muhimu (hasa Watu wa TISS) kulifuatilia na kulichunguza na kama lina Ukweli basi ni muda sahihi sasa kwa Klabu ya Yanga kuchukuliwa Hatua kwani wanachokifanya sasa (kama hii taarifa ni ya kweli) siyo Uungwana na Uanamichezo bali ni Vita rasmi ya Ugaidi Michezoni (Mpirani) na ikiachwa ipo Siku itatupeleka kubaya na Mpira Wetu utakuwa ni Vita Kamili na siyo Burudani tena kama lilivyo Lengo Mama la wenye Mamlaka nao (nalo) akina FIFA Kidunia na CAF kwa Afrika.

Tutaniane, ila tusileteane Uhuni!!!
 
Punguza kuandika pumba wewe dogo
 
Tulia wewe kijana!Yanga ndiyo Tanzania yenyewe.
IMG-20230804-WA0014.jpg
 
We nawe kugeugeu tu

Kwahiyo ulitaka tiketi zinununliwe na wanasimba tu?

Lengo si limetimia!?Si mlikuwa mnataka iwe sold out?
 
Mngeweka mfumo wa kudetect wateja wanaonunua kama aidha ni Simba au yanga
Mfumo unatakiwa kulimit manunuzi yasizidi tiketi 10 kwa mtu mmoja ndani ya masaa 24. Pia uwanja ukiwekewa namba kwenye viti ni rahisi kudetect mambo kama haya maana ukinunua tiketi nyingi unapewa namba zinazofuatana.

Anyway, kufanya hivi inadhihirisha kibegi kweli kiliwavuruga mpaka sasa hamko sawa. Mahudhurio hayakuwa hafifu kwa sababu ya gharama ya tiketi bali vibe la jezi mpya na usajili wa Miq.
 
We achana na kibegi,tarehe sita atakuwepo SSH uwanja,andaeni wazamiaji wa dharura Ili watazamaji wakiw wachache mnafungulia mbwa
Mfumo unatakiwa kulimit manunuzi yasizidi tiketi 10 kwa mtu mmoja ndani ya masaa 24. Pia uwanja ukiwekewa namba kwenye viti ni rahisi kudetect mambo kama haya maana ukinunua tiketi nyingi unapewa namba zinazofuatana.

Anyway, kufanya hivi inadhihirisha kibegi kweli kiliwavuruga mpaka sasa hamko sawa. Mahudhurio hayakuwa hafifu kwa sababu ya gharama ya tiketi bali vibe la jezi mpya na usajili wa Miq.
 
Kuna video nimeiona jana mtu wa Yanga alionyesha fungu la kadi akijitapa ni za jumapili akasema pia na wenzake pia wanazo. Hili linaweza kuwa kweli limefanyika.
Weka hapa hiyo video nasi tuweze kuiona, na kama hilo limetokea basi lengo la hao watu linaweza kuwa ni kupata faida kwa kuuza hizo tiketi kwa bei kubwa zaidi ya aliyonunua yeye kwasababu kutakuwa na uhitaji mkubwa siku ya mechi
 
Back
Top Bottom