Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,454
40,446
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?

Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.

Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.

Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.​
 
🤣✌
 
Pole sana, mie ya soda tu inanitosha
 
acha manenooo weyeeee... pisi kali hata kutembea nayo unapata ki smati
Kuna mmoja yuko tall kweli, alafu ana umbo zuri la kama huyu, nilikesha naye majuzi.

leo3.jpg

Dah, amenichuna sana, na sasa hivi ameniomba tukakeshe naye; nikiangalia waleti inasoma sifuri :D:D; najaribu kupambana na nguvu za shetani naona nashindwa.
 
Back
Top Bottom