Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

Gentlemen_

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
3,563
10,552
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati.

Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana.

1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely

Etc

Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..

NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa.
 
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...

Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!

1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely

Etc......

Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..

NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..
mizigo mingi ngoma tano acha ufala si mwaga ngoma hapo
 
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...

Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!

1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely

Etc......

Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..

NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..

Fan fan- papa lolo
 
Julie -Oliva ngoma.
Mario-Franco luambo.
Mamuu-Franco luambo.
Azda-Madilu system.
Fredwaaa-Madiluuu.
Muchana-Kanda bongomani.
Elizabeth-Kanda bongomani.
100%-Fere gola.
Kwa sasa ndio izo nizikumbukazo.
Hiyo Mario by Franco Luambo ipo remix yake kapiga Mwanamke aiseeee hatari sana.
 
Watu wanashindwa kutofautisha zouk na rhumba.
Wasanii wa zouk ni kama
Oliver ngoma
Monique seka
Tshala muana
Kanda bongo man
Mbilia bel (baadhi ni rhumba)

Rhumba
Madilu system
Franco
Tabu ley
Samba mapangala (baadhi zouk)
Sam mangwana
 
Back
Top Bottom