Hii kali! Kuna jambo la kujifunza kutoka kwa hawa Wakenya hapa

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.

Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.

☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?

Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana 😄!
 
Naona polisi wanarudishiwa mabom pamoja na mawe na vile baadhi yao hawajavaa kofia na nguo.. lazima wangechanganya miguu tu,

kwa 255 itachukua mda mrefu Sana Kwa tukio kama hili kuna kutokea.

Wabongo wengi chuki nyingi, roho mbaya, wivu... fuata mkumbo hawajui wanataka nini na mabla bla kama yote lakini guts ndo kitu pekee ambacho hawana .
 
Watanzania panya road wakipita tu maduka wanafunga na kujifungia ndani...bongo level ya kukiwasha hadi watawala washike adabu bado sana...huo ndio mtaji wa ccm kuonea na kufanya lolote watakalo maana wenye uthubutu wa kuingia road hamna
 
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.

Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.

View attachment 2682386
*/-☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?.

Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana

Upumbavu mtupu.Unavyosifia utadhani ni sifa kufanya vurugu.
 
Hakuna kipya bongo aliwahi kutokea Pemba miaka Fulani mkiwa wadogo kilichofuata sitaki kujikumbusha RAIA walifanikiwa walichinja askari majibu yake yakafanya Pemba izalishe wakimbizi.

Kilombero walifanya kama Kenya kilichofuata we acha tu
Pale Arusha waliandamana kwenda kituo cha Polisi nilikuwa balaa

Naunga mkono hoja don't try this home.
 
Watanzani waoga hawawezi kufanya hivi hata siku moja🤣🤣
20230708_222924.jpg
 
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.

Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.

View attachment 2682386
☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?

Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana 😄!

Hawa polisiwa kenya wanamaadili. Ingekuwa Tanzania hao pilisi wangewapsambaratisha hao watu kwa risasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom