kali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mashairi maalulum kwa pisi kali ambazo tabia ni F na tamaa zimewameza

    Ukimuona utadhani malaika/ Kwa jinsi alivyo umbika/ Jicho la kulainika/ Kiuno kimebinuka/ Tumbo limefutika/ Mpodo umejazika/ Sauti yake tamu hakika/ Yaani mtoto kakamilika/ Ana haiba ya kutukuka/ Na msafi mithili ya paka/ Ni mrembo alopambika/ Na anavutia kwa kila rika/ Ukimuona...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

    Nimejiridhisha na kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa Tanzania 1. Single Again - Harmonize 2. Mama Amina - Mario 3. Ticha- Harmonize 4. Shetani - Marimboso 5. Anajikosha - Harmonize
  8. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Pisi kali ina-date na jamaa inayokata gogo mtoni

    Duniani kunamambo ~ dito voice Kweli dunia inamambo tena toka kitambo. Pisi inayojiita kali ina-date na shamba boi kutoka Muleba, njemba haikijui choo. Haja zote inamaliza mtoni yani tiiiiiiiiiii.............. then pwaaaaah ndani ya maji ya mto. Swali kwenu wadada wa Jf, je unaweza date na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

    Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali. Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama. Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi. Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
  14. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

    Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
  15. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  17. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
  18. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?

    Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
Back
Top Bottom