kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kidonge gani humezwa kabla ya kutumia dozi ya typhoid?

    Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM. KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujasoma Biblia

    1: Biblia sio kitabu cha kidini Sio kitabu cha kubishania, Ni maelezo ya Mungu mfalme aliyeumba sio tu dunia bali trillions za sayari zenye viumbe wasiohesabika. Hiyo lazima uyasome kwa adabu. 2: Usiende na ajenda yako mfukoni. Nenda kama mualikwa wa ikulu ya mbinguni kusikiliza hotuba na...
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Wezi huwa wanafikiria nini kabla hawajaamua kuwaibia masikini wanaopambana kujikwamua na hali duni?

    Unaweza kujiuliza hili swali kama mimi na huenda usipate majibu yake. Fikiria mtu upo unapambana ujikwamue kutoka kwenye umasikini, unafuga kuku, mbuzi; unajenga kabanda kako ka kujistiri na mvua, cha ajabu kuna mtu mwingine anawaza kuja kukuibia hata hicho kidogo ulichonacho! Mwizi ni mwizi...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

    Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo. Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kutumia Mkate, Nyama ya Kukaanga, Coca, Kababu au Tambi kabla ya Kulala?

    Wadau nimekutana na hiki kitu kwamba ni hatari kwa Binadamu yeyote kula vyakula kama Kababu, Suya, vinywaji vya Coca, Nyama ya Kukaanga kwa Mafuta na Mikate yenye Ngano kabla ya kwenda kulala. Je, lina ukweli kiasi gani hili?
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ifanyike tathmini ya Uchaguzi wa 2019/2020 kabla ya kufanyika uchaguzi 2024/2025

    Salaam, shalom. Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali kutathmini kilichojiri 2020 Ili kuepuka KURUDIA changamoto zile zile. Mzee Warioba amejaribu kuongea...
  16. K

    JamiiForums Tanzania U-CCM ni zaidi ya anaoujua Tundu Lissu na wapinzani. Nasimama na CCM kwenye demokrasia

    Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli. Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCRA fungia mitandao ya kichochezi kabla hamjachelewa

    Kuna mitandao nchini kama Jambo tv ambayo inashabikia kutoa taarifa zinazowachanganya na kuwagawa wananchi. Serikali inasubiri hadi wapi ili kuifuta? Kule Marekani kulikuwa na mtandao wa you tube the Dive wa kijana anaeitwa Jackson Hinkle ambao ulikuwa ukiripoti habari za vita ya Ukraine...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani kemeaneni kuhusu suala hili kabla ya Uchanguzi 2024-2025

    Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda.. Huku ni sawa na...
Back
Top Bottom