Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

labda ni masharti ya majini kutesa watu, hata kuna kipindi walikuwa wanateka na kuuwa watoto albino, nothing makes sense any more, haijawawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa Jamhuri yetu, pure evil …
 
TEMEKE ndiyo mkoa unao ongoza kwa kukatika kwa umeme Tanzania.. na kwa bara la Africa na ukanda wa sahara in general
Kama Temeke kuna tatizo la kukatika Umeme basi kwanza tuipongeze Serikali kwa kufikisha huduma ya Umeme Temeke nzima

Vijiji ambavyo havijafikiwa na huduma ya Umeme vinaomba walau vipatiwe Umeme wa mgao na wao waonje raha ya Umeme wa Tanesco

Kama umechoshwa na katika katika ya Umeme Temeke tafuta Muungwana wa kubadilishana nae Makazi, yeye aje Temeke na wewe uhamie Ostybay

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom