Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari zenu Wakuu wangu,

Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia.

Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya kunyonya tupu ya mpenzi wako. Maswali yenyewe ni haya yafuatayo,

1) Ninaponyonya pameumbwa kwa kazi gani

2) Ninachofanya kina madhara kiafya

3) Ninaponyonya pameingiliwa na watu wangapi

4) Imani yangu inaruhusu ninachofanya

5) Nikipatwa na maradhi itakuaje

6) Hivi nina akili kweli

Ukijiuliza maswali hayo na ukajijibu basi matokeo ya unachofanya yapo juu yako na familia yako.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Washington Dc
 
UZI TAYARI

Mjanja M1 kwasasa napatikana Washington Dc.
wanyonya tupu hawana akili

namba 3 na 6 kama ubongo wako haujajaa maji huwezi kufanya ujinga

watu wangapi washamwagamo makamasi yao

na wewe mdada unajua mshedede wake umechomekwa kwa makahaba wangapi
 
Upo sahihi Mkuu.

VIJANA HAWATAKI KUTUMIA AKILI KABISA.
 
Sina tabia ya kujiuliza maswali kama hayo mkuu, mie napiga MBUPU nikinogewa akili ya kunyonya ziwa ikija nanyonya, ya kunyonya papa nitanyonya, ili mradi niukonge moyo wangu.

Mzee kwani unadendeka, ushawahi kujiuliza maswali kama hayo kabla ya kumpiga lita?
Sawa Mkuu.

MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.
 
Habari zenu Wakuu wangu,

Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia.

Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya kunyonya tupu ya mpenzi wako. Maswali yenyewe ni haya yafuatayo,

1) Ninaponyonya pameumbwa kwa kazi gani

2) Ninachofanya kina madhara kiafya

3) Ninaponyonya pameingiliwa na watu wangapi

4) Imani yangu inaruhusu ninachofanya

5) Nikipatwa na maradhi itakuaje

6) Hivi nina akili kweli

Ukijiuliza maswali hayo na ukajijibu basi matokeo ya unachofanya yapo juu yako na familia yako.

UZI TAYARI

Mjanja M1 kwasasa napatikana Washington Dc.
Kwani nyie watu ambao hamnyonyi tupu mna matatizo gani?😆

Mbona mnaweweseka sana kila saa mnaanzisha nyuzi za kukandia. We kama hunyonyi ni sawa hakuna anaekuuliza. Tuache sisi tunaonyonya tuendelee.
 
Back
Top Bottom