Gavana wa California asema kumuengua Trump kabla ya kura sio demokrasia

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,464
17,295
Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024.

Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024.

Jimbo la California na Colorado ni majimbo yanayoongozwa na chama cha Democratic cha Bwana Joe Biden.

Gavana wa California amepinga mpango wa kumuondoa Trump kwenye jimbo lake na kusema hiyo sio demokrasia, wao watamshinda kwenye sanduku la kura na sio kumuondoa.

Hii ni ishara ya utawala wa Biden kutaka kupita mhula wa pili bila kupingwa baada ya kuona maji ya shingo.

Trump walimuanzishia kesi nyingi za kubumba, wameona ndio zinamuongezea umaarufu sasa wameona bora wamuondoe kwenye orodha ya wagombea.

=====

Gavin Newsom blasts effort to block Trump from California ballot: 'We defeat candidates at the polls'​

Sarah Rumpf-Whitten

3–4 minutes

Gov. Gavin Newsom critized fellow Democrats for considering blocking former president Donald Trump from California's 2024 presidential primary ballot, saying that, "we defeat candidates at the polls."
"There is no doubt that Donald Trump is a threat to our liberties and even to our democracy," Newsom said in a statement. "But in California, we defeat candidates at the polls."
"Everything else is a political distraction," Newsom said.
RFK JR SLAMS CALIFORNIA LT GOV FOR EYEING BID TO REMOVE TRUMP FROM BALLOT
Gavin Newsom global institute conference

California Governor Gavin Newsom speaks during the Milken Institute Global Conference in Beverly Hills, California on May 2, 2023. (PATRICK T. FALLON/AFP via Getty Images)
The effort to boot Trump off the ballot has been gaining momentum after Lieutenant Governor Eleni Kounalakis sent a letter to California Secretary of State, Dr. Shirley Weber, and urged her to "explore" all legal options of removing the former President from the state's ballot.
"Based on the Colorado Supreme Court's ruling in Anderson v. Griswold (2023 CO 63), I urge you to explore every legal option to remove former President Donald Trump from California’s 2024 presidential primary ballot," the letter to Weber said.
In the letter, Kounalakis argued that persuing legal options for removing Trump is about "protecting the fundamental pillars of our democracy."
CALIFORNIA LT. GOV CALLS FOR STATE TO ‘EXPLORE EVERY LEGAL OPTION’ TO REMOVE TRUMP FROM '24 BALLOT
"This decision is about honoring the rule of law in our country and protecting the fundamental pillars of our democracy," Kounalakis wrote.
Former President Donald Trump

Acevedo maintained he gave Trump a "fair platform" that would allow viewers to judge him for themselves. (Michael Nagle/Bloomberg via Getty Images)
Newsom's comments come in the wake of this week's ruling by the Colorado Supreme Court to remove Trump from the state's 2024 ballot.
The divided court ruled that Trump is ineligible to run for the presidency under the U.S. Constitution's insurrection clause, arguing that his actions fueled the deadly Jan. 6, 2021, attack on the U.S. Capitol by right-wing protesters aiming to disrupt congressional certification of President Biden's 2020 election victory.
CLICK HERE TO GET THE FOX NEWS APP
The blockbuster development was immediately condemned from nearly all corners of the GOP. Additionally, Trump's Republican rivals for their party's presidential nomination – who are aiming to defeat him at the ballot box – quickly rallied around the former president.
Gov. Gavin Newsom and Lt. Governor Eleni Kounalakis did not immediately respond to Fox News Digital's request for comment.
Fox News' Paul Steinhauser contributed to this report.

Sarah Rumpf-Whitten is a breaking news writer for Fox News Digital and Fox Business.
She is a native of Massachusetts and is based in Orlando, Florida.
Story tips and ideas can be sent to sarah.rumpf@fox.com and on X: @s_rumpfwhitten.
 
Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024.

Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024.

Jimbo la California na Colorado ni majimbo yanayoongozwa na chama cha Democratic cha Bwana Joe Biden.

Gavana wa California amepinga mpango wa kumuondoa Trump kwenye jimbo lake na kusema hiyo sio demokrasia, wao watamshinda kwenye sanduku la kura na sio kumuondoa.

Hii ni ishara ya utawala wa Biden kutaka kupita mhula wa pili bila kupingwa baada ya kuona maji ya shingo.

Trump walimuanzishia kesi nyingi za kubumba, wameona ndio zinamuongezea umaarufu sasa wameona bora wamuondoe kwenye orodha ya wagombea.

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1738734871147684249?s=19

Trump wanaona si rahisi kupambana naye wamramua kutumia mbinu za Afrika. Demokrasia inaanza kufail
 
Yoote tisa...lakini waliompeleka Mahakamani ni Republicans wenzake.

Kwa vyovyote vile, hiyo ndio Demokrasia.

Upande mmoja wa Republicans na Democrats wakiwa na hoja ya "zimebaki siku chache za kwenda kupiga kura" na hivyo basi Demokrasia ichukue mkondo-waende na njia ya sanduku la kura.

Upande mwingine nao unadai, "hakuna aliye juu ya sheria" kwamba Trump amefanya makosa(insurrection) na hivyo basi anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria, kama ilivyofanywa na Republicans wenzake kwa kile walichokiiita, kukandamiza Katiba..
 
Mkuu ni warepublican wapi waliompeleka mahakamani?
 
Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024.

Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024.

Jimbo la California na Colorado ni majimbo yanayoongozwa na chama cha Democratic cha Bwana Joe Biden.

Gavana wa California amepinga mpango wa kumuondoa Trump kwenye jimbo lake na kusema hiyo sio demokrasia, wao watamshinda kwenye sanduku la kura na sio kumuondoa.

Hii ni ishara ya utawala wa Biden kutaka kupita mhula wa pili bila kupingwa baada ya kuona maji ya shingo.

Trump walimuanzishia kesi nyingi za kubumba, wameona ndio zinamuongezea umaarufu sasa wameona bora wamuondoe kwenye orodha ya wagombea.

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1738734871147684249?s=19

Kinachonifurahisha kuna wanafiki huku Africa huwa wanaona hawa ndio mfano bora wa demokrasia.

Hakuna demokrasia katika Taifa lolote kubwa hapa duniani.Ila tu huwa wanaangalia namna yakuridhisha wananchi wadanganyike kuwa kuna demokrasia.

Kuna mataifa ulaya wananchi waliandamana kupinga nchi zao kupeleka silaha ukraine wakawa wanaona kama kuchochea mgogoro,wengine kuona matumizi mabaya ya kodi zao.

Je kuna ambao walisikilizwa katika hayo maandamano na serikali ikatii.
 
Back
Top Bottom