jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  3. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na Macartel wachache, nani atawanusuru Watanzania Milioni 60?

    Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, JWTZ mna eneo zuri pale Nyegezi kona mnaweza kujenga uwanja mzuri wa mpira

    Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania. Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi. Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania JWTZ iwekeze katika teknolojia ya ndege zisizo na rubani(Drones)

    Sasa ni wakati wa kubadilika, mambo yatokeavyo huko majuu ni matumizi ya ndege zisizo na rubani katika medani za vita. Jeshi letu ili lisije likachelewa lijikite katika kutumia, kutengeneza na kuzidhibiti aina ya ndege hizi, ndege ambazo sasa ni maarufu sana. Zinatumika kufanya doria usiku...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura na PT yake wamelishindwa Pori Hatari kwa Uhalifu Tanganyika Packers Kawe!

    Kila Siku za Ibada hapo za Jumapili, Jumatatu, Jumanne na zile za Matamasha Watu / Waumini huibiwa Simu au Pochi kwa Kuporwa huku Wakijeruhiwa na Vibaka Maarufu ambao baadhi yao Mchana huwa ni Madereva Bodaboda katika Ukanda huo. GENTAMYCINE niliwahi Kumtaarifu hili ( hapa hapa JamiiForums )...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa, uhusiano baina ya JKT na JWTZ

    Nimekuwa nikiyasikia majeshi haya hapa nchini kwa muda mrefu sasa pasipo kujua uhusiano wa moja kwa moja uliopo kati ya Jeshi la kujenga taifa (JKT) na Jeshi la wananchi (JWTZ) Kimuonekano ni wazi JKT husimamiwa na JWTZ kwani naona wanaotoa mafunzo ni JWTZ Je, hivi vyombo huwa na uhusiano...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, JWTZ linaruhusiwa kisheria kufanya msako kwenye nyumba za watu Tanzania?

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ya JWTZ kusema litafanya msako kwenye nyumba za wananchi kutafuta wenye mavazi yanayofanana na za kwako. JWTZ hawajasema kama kuna mali zao zilizoibwa, hivyo hizo wanazotaka kutafuta ni za nani? Kama kuna yanayomilikiwa na watu yanayofanana na za kwako, nani...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa JWTZ usifanye jukumu hilo kama mwanasiasa

    Miaka ya nyuma hili jeshi ilikuwa ni nadra sana kusikia wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari, na ikitokea kutoa taarifa basi itakuwa ni taarifa ambayo ni nzito sana na kila mwanachi anakuwa na shauku ya kuisikia. Pia walikuwa wakitoa taarifa au tamko basi ni mara moja na hutaona wakirudia...
  12. Blender

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia. Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

    https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Hakuna aliyeongezewa mshahara. Aliyepotosha kushughulikiwa

  19. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
Back
Top Bottom