jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania JWTZ cyber warfare unit

    Nauliza tu… Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ. Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono. Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke. Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito. Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya JWTZ Tanzania iwekeze kwenye kinu cha nyuklia

    Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi. Zama za kutegemea URUSI...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wanajeshi mnapokuja kwenye biashara za kiraia msije kikundi na kuvaa magwanda

    Mimi binafsi naona ni ubabe wa usiofaa wa baadhi ya wanajeshi, mtu anakuja ofisini kwako kavaa kiraia. Mnafanya biashara vizuri, Ikitokea biashara imeenda kinyume siku akija kueleza matatizo anakuja na kikundi cha wenzake wawili au watatu huku amevalia nguo za kijeshi na vitisho kibao, kwanini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uajiri JWTZ umepitwa na wakati, ufanyiwe maboresho

    Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama. Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo linaweza kusababisha kuwepo kwa mianya ya rushwa. Mpaka leo kwa taasisi kubwa kama JWTZ kuendelea...
  6. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Ajira za JWTZ - Vijana waliopo JKT na waliomaliza mkataba wa JKT

    Wakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU? ---
  7. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

    The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani. Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo. Au kazi yao ni nini jamani?
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  10. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Tax: Hakuna malimbikizo kwa wastaafu wanaohusiana na JWTZ

    Akijibu swali la Mbunge Esther Matiko aliyehoji kuhusu uwepo wa malalamiko ya Wastaafu kucheleweshewa mafao yao kutokana na sababu mbalimbali, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wastaafu wanaohusiana na Wizara yake hakuna malimbikizo na wanaendelea...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Tanzania Millitary Academy kwa Mafunzo yaliyotukuka kwani Wanajeshi wa Uganda

    Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika Vyuo vyao vya Kijeshi kama Kawaweta, Jinja na Kabamba wanasema wanakipigia Saluti Chuo cha TMA na...
  13. w0rM

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya Iddi Amini: Wazee wetu wanakumbukwaje?

    Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na Dunia kuwa ngome ya mwisho ya adui imeanguka. Ikiwa ni miaka 45 sasa tangu ushindi wa Vita hii...
  14. Thabiti muhsini

    JamiiForums Tanzania Je, ambao hawajachaguliwa kwenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa mwaka 2024 wanasaidiwaje?

    Je, kwa wale wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2024 ambao hawajachaguliwa kwenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa na walikuwa na uhitaji wa kwend wanasaidiwaje?
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: JWTZ and JKT Use Technology to Curb Illegal Migration in Tanzania

    Tanzania, with its vast landscapes and porous borders, faces a significant challenge in curbing illegal migration. This movement of people across borders without proper authorization can strain resources, heighten security concerns, and disrupt social fabric. Imagine a tense scenario along the...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi. Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns...
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Nini Hatima ya wanakijiji zaidi ya 2000 wa Tondoroni, Kisarawe waliopo katika mgogoro wa aridhi na JWTZ?

    MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini ya Jaji Luvanda imetupiliwa mbali kwa kufunguliwa nje ya muda (Time barred'). Mgogoro huu wa ardhi...
Back
Top Bottom