https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8
Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu.
Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi.
Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo.
Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi?
JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
Kwa kiasi fulani, vina mfanano na JWTZ kimavazi na kimuundo.
Vyeo vinavyopatikana JWTZ kama SAJENT, CAPTAIN, MEJA, n.k. vinapatikana huko pia.
Vina majukumu gani huko Zanzibar?
Hivyo Vikosi vya JKU vinaweza kutumika Tanganyika kukitokea dharura?
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa...
Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi na JKT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Watu wa China.
Mkataba...
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA...
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.